Maoyesho ya Nane Nane: 2023

Mhe. Exaud Kigae, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, akiagana na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano (NIDA), alipotembelea Banda la NIDA leo, kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya John Mwakangale Mkoani Mbeya. Katika ziara yake hiyo pamoja kuipongeza NIDA kwa kuanzisha Mfumo wa Usajili Kimtandao kutokana na kupunguza foleni na akahimiza kuendeleza juhudi za kuhamasisha Umma Ili watumie zaidi njia ya Usajili Kimtandao (eonline.nida.go.tz) Ili waepukane na foleni isiyo ya lazima.

Read More